Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

F1: MAMA WA MKE WA BOSS WA FORMULA ONE BERNIE ECCLESTONE AMETEKWA BRAZIL


Mama yake mke wa Bernie Ecclestone, Boss wa F1, ametekwa nyara huko Sao Paulo, Brazil...Waliomteka wanataka pesa kiasi cha $36.5 milioni ili aachiwe huru...Mke wa Ecclestone anaitwa Fabiana Flosi na mama yake anaitwa Aparencida Schunck...Polisi bado hawajasema lolote kuhusu hilo jambo...Ecclestone ni mtu mwenye nguvu sana kwenye ulimwengu wa michezo na anathamani ya $3.1 bilioni...Bofya hapa upate habari zaidi.

Yorum Gönder

0 Yorumlar